GET /api/v0.1/hansard/entries/719156/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 719156,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/719156/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Suala nyeti ni kuwa hizi hela ambazo tulikubaliana zitumike kutengeneza barabara kilomita elfu kumi ziko wapi? Ni nini kimetokea? Ni lipi limeenda vibaya? Ule wakati ambao tulikuwa tumepitisha sheria hapa kuwa kuna barabara zitakuwa katika mikononi mwa Serikali kuu na zingine kwa Kaunti, ni nini kimetokea? Tunaambiwa kuwa magavana wengine wameweka sahihi barabara zitengenezwe na wengine wamekataa. Je, wale ambao wameweka sahihi barabara zitengenezwe, zimetengenezwa? Na wale ambao wamekataa, kama wangu wa Taita Taveta, barabara zetu hazijatengenezwa, ni nini kitakachotokea?"
}