GET /api/v0.1/hansard/entries/719343/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 719343,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/719343/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Pia, kuna ripoti kwamba kuna watu katika hizi sehemu za ukame ambao wanaenda kwenye sehemu ambazo ni nafuu ama zina maji ya mifereji na kupeana watoto wao waangaliwe kwa sababu hawana chakula na wanaweza kuaga dunia. Pia, kuna habari za wasichana wadogo ambao wanauziwa wanaume kwa shillingi mia tano, elfu moja au mbili kwa sababu familia zao zimeshindwa kuwalisha na pia kuna hatari ya hao wasichana kuaga dunia. Hili ni jambo la kusikitisha sana. Hebu fikiria sisi hapa tukiwa na msichana wetu na hatuwezi kumlisha na inabidi tumuuze kwa mwanaume. Kuna wale ambao wanafurahia jambo kama hilo."
}