GET /api/v0.1/hansard/entries/719608/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 719608,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/719608/?format=api",
"text_counter": 239,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Hapo awali, Mwenyekiti wa Kamati alizungumza lakini sikumwelewa na sio kwa sababu alizungumza kimombo lakini anawezaje leta Mswada hapa tuupitishe ndio aurekebishe baadaye? Sitakuelewa leo wala kesho. Inakuwaje Mwenyekiti wa Kamati anasema kuwa kifungu fulani cha sheria hii ni kibaya na kifungu kingine ni kizuri? Kwa nini hakurekebisha Mswada huu kabla ya kuleta Bungeni? Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, Kifungu cha Saba na Kanuni ya Bunge Kipengele cha 77, Kiswahili ni lugha ya taifa. Vile vile, Kiswahili ni lugha rasmi Bungeni."
}