GET /api/v0.1/hansard/entries/720255/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 720255,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/720255/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuchangia Mswada huu ambao ni wa maana sana. Ninalo ombi kwa Waheshimiwa Wabunge kwamba tusikimbie tu kuupitisha Mswada huu bila kurudi nyuma kuufanyia ukarabati kidogo. Kweli tunatetea haki ipatikane upande wetu sisi wanawake, lakini ifahamike kwamba hata sisi wanawake tunachangia hizi shida zingine. Ukiangalia mavazi ambayo tunavaa, yatamfanya huyo mwanamme agutuke nafsi yake."
}