GET /api/v0.1/hansard/entries/720257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 720257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/720257/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Je, atakuwa amekosea huyo au la? We are provoking problems. Kwa hivyo, katika hii sheria, tuende nayo kwa utaratibu tuweze kurekebisha mpaka katika Katiba. Kwa sababu wakati tunasema mtu anaruhusiwa kuvaa anavyotaka, lakini mtu avae nusu uchi, uwe unategemea nini? Uwe unategemea ufuatwe kwa macho na kwa vitendo. Kwa hiyvo, Mswada huu ni wa maana sana na utaweza kulinda haki zetu pande zote mbili; wanawake na wanaume. Ningependa kusema kuwa hicho kipengele kinachosema kwamba watu wanaweza kujadiliana ili kesi iondolewe, ningeomba wakati mwafaka ukifika tukiondoe. Wanaopatikana na hatia wanafaa kuadhibiwa hata kwa adhabu ya kifo kwa sababu watakuwa wamemharibia mtoto maisha yake, awe ni wa kike au wa kiume. Shukrani."
}