GET /api/v0.1/hansard/entries/721565/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 721565,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/721565/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Asante Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nataka kuunga mkono haya mabadiliko katika huu Mswada. Hii ni kwa sababu katika jambo muhimu kama hili ambapo vyombo vya Serikali vinabadilishwa viwe vya kibinafsi, kunatakikana watu wa kutosha. Kwa hivyo, nakubaliana na mabadiliko anayotaka Mhe. Wamunyinyi kwa hii sheria."
}