GET /api/v0.1/hansard/entries/721717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 721717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/721717/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "huchukua muda mrefu na mara nyingi huwa ni pesa nyingi kwa mwananchi wa kawaida kutafuta kwa sababu ya kufanya mambo ya usoroveya na kadhalika. Wakati mwingine kuna wafanyikazi wa Serikali wenye kulipisha hongo kubwa. Kwa hivyo, sheria hii itaruhusu mwananchi wa kawaida kutoa vyombo vyake vyovyote vidogovidogo viwe kama garantii ya mkopo. Hivi ni vitu kama piki piki na mitambo. Uzuri wa sheria kama hii hususan kwa Kaunti ya Kwale inaruhusu mifugo watumike kama garantii ya wananchi kuweza kupata mikopo."
}