GET /api/v0.1/hansard/entries/721718/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 721718,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/721718/?format=api",
    "text_counter": 346,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Naunga mkono sheria hii. Kwa kweli itasaidia wananchi walala hoi, ijapokuwa si ruhusa kwa Serikali kuaacha mamlaka yake ya kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea na maisha yao na wanagharamikiwa kwa mambo ya kawaida kama elimu na afya."
}