GET /api/v0.1/hansard/entries/722098/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 722098,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/722098/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa hii fursa. Nina pinga Hoja hii kwa sababu uteuzi wa wanachama wa Kamati hii ulifinywa kwa kuzingatia mrengo wa vyama viwili vikuu katika nchi hii. Sikubuliani kamwe na orodha hii ya wanachama wa Kamati hii. Kwa mfano, Sen. Khaniri ametolewa kwa sababu alikuwa anafanya kazi na Jubilee na hawajaona ya kwamba amekuwa mtu muhimu ambaye amewafanyia kazi Wakenya. Mambo yote yale tunapinga au tunafanya, hawa huenda ikawa watasaidia hao magavana wote ambao wamepora pesa ya Wakenya. Kwa hivyo, mimi nasema kama Sen. Bule ambaye pengine hatoki kwa muungano wowote wa vyama vikuu, apewe fursa ya kufanya kazi muhimu yaWakenya. Kwa hivyo, wale watu wataunga vyama vyao au watashughulikia maslahi ya vyama vyao kwasababu zaidi ya magavana ambao wamepora mali ya umma wana toka katika hivi vyama vikubwa. Mimi kama Sen. Bule napinga kabisa Kamati hii, haija fanya ukweli nasi ya sawa. Asante, Bw. Spika. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}