GET /api/v0.1/hansard/entries/722815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 722815,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/722815/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "ya 1965 iligawanya Taifa la Kenya katika mapote mawili. Pote ya sehemu za rotuba na pote moja ya sehemu ya Kenya isiokuwa na rotuba. Sehemu za Kenya isiokuwa na rotuba ni kama Tana River, Mandera na Wajir. Katika sehemu hizo, yule daktari wa hakika utakayepewa katika hizo kaunti zamani alikuwa anitwa Medical Officer of Health (MOH). Kwa hakika, utapata huyo. Huna hakika ya kupata daktari wa pili. Wale wako na maafisa wa kliniki wa Kenya. Hawawezi kutekeleza wajibu wao kwa sababu sheria haiwaruhusu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}