GET /api/v0.1/hansard/entries/722942/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 722942,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/722942/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Ahsante, Mhe. Spika. Ningependa kumwambia Mhe. Cheboi kwamba tuna wachekeshaji kama Churchill na Nyambane humu nchini, ambao wanaongea kama “Nyayo”. Mugambi anajulikana Tigania East na huwa anapelekwa kwenye sherehe ambako huongea kama “Nyayo”, Kibaki, Muturi na Raila na watu wanafurahia. Nilimtambulisha kama mtoto wa nyoka kule kwa Mhe. Kiraitu. Alizungumza na watu wakafurahia sana. Alisema kwamba anaweza kumtemea yule anayecheza na Mhe. Kiraitu Murungi mate na afe. Mugambi alikuwa tu anafurahisha watu. Hakukuwa na uchawi wowote. Mhe. Mwiti na Mhe. Cheboi ndio wachawi."
}