GET /api/v0.1/hansard/entries/723161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 723161,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/723161/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuzungumzia Hoja hii kwa huzuni sana, haswa tunapoona kwenye magazeti na televisheni vifo vya watu kila siku. Kama alivyosema Mhe. Shebesh, ni lazima Serikali ichukue jukumu la kumaliza janga hili la watu kuwaua wengine kule Baringo, Turkana, Elgeyo Marakwet na Trans Mara. Kama kundi la"
}