GET /api/v0.1/hansard/entries/723171/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 723171,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/723171/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Pukose",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1458,
        "legal_name": "Robert Pukose",
        "slug": "robert-pukose"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, singependa kuzuia mwenzangu kuongea, lakini anasema Serikali iliwatoa Wasabaoti. Si Wasabaoti ndugu yangu. Hiyo ni Sabaot Land Defense Force (SLDF). Ukisema wasabaoti, unanikosea hapa na mwenzangu Serut na wengine kutoka kwa jamii ya Sabaot. Namuomba atupilie mbali mambo hayo na kuomba msamaha. Ameze mate Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}