GET /api/v0.1/hansard/entries/725232/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 725232,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/725232/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii kuzungumzia sheria hii kuhusu wanyama wetu. Kwa sababu wenzangu wameongea zaidi kuhusu mambo ya wafugaji wa mbuzi na ng’ombe, kwa kweli, hizo ndizo shida zinazowakumba wachungaji. Ni muhimu sana kuwe na sheria hii ili tupate bodi ya kuangalia mambo hayo. Mara kwa mara, wafugaji wanapata shida kwa sababu hawana namna nyingine. Wanategemea wanyama wao pekee. Hakuna sheria katika Kenya yetu ya kulinda wanyama wao. Ndio unaona shida zote za ukame, maji na zingine zinawakaba wanaochunga wanyama wetu. Ni ukweli tukipata hiyo bodi, tutakuwa na sheria ya kuchunga wanyama wetu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}