GET /api/v0.1/hansard/entries/725331/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 725331,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/725331/?format=api",
"text_counter": 22,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwenda Vanga jana kuhudhuria mazishi ya ndugu yetu. Mimi na Sen. Kisasa, Sen. (Dr.) Zani, Sen. (Dr.) Khalwale, Sen. Hassan Omar, Sen. Madzayo na Sen. Adan tulienda pamoja. Tuliona vile mwenzetu mwendazake alikuwa anapendwa na watu wake. Kulikuwa na halaiki ya watu waliokuwa na majonzi. Walisema ya kwamba wamempoteza Kiongozi shupavu. Nilimjua ndugu yetu, marehemu Sen. Boy Juma Boy, 1993 wakati tulikutana Bungeni. Wakati huo ndugu yangu Sen. Kiraitu alikuwa ameingia Bungeni safari ya kwanza."
}