GET /api/v0.1/hansard/entries/725546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 725546,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/725546/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda,wagonjwa, watoto na akina mama wanaumia. Serikali hii imetumia pesa za Eurobond halafu wanatuambia kuwa hakuna pesa ya kulipa madaktari. Tunafanya bidii kupunguza idadi ya Wakenya.Tunatumika sisi kama viongozi waliochaguliwa kuwahimiza na kuzingatia kazi ambazo zinaweza kuinua maisha ya Wakenya. Bila kusitasita, Rais Kenyatta ameshindwa kuongoza nchi yetu. Ikiwa madaktari wamegoma na Rais anaonyeshwa kwenye vyombo vya habari akicheza densi na vitoto akiwa katika shughuli za kuomba kura, maskini anakufa kwa kukosa msaada kutoka wa Serikali. Huyu Rais ana kazi gani kuongoza taifa ya watu wenye akili kama Kenya? Kusema kweli, yeyote anawezakuongoza ikiwa Rais Kenyatta bado ni Rais wa Kenya. Hii ingekuwa nchi nyingine---"
}