GET /api/v0.1/hansard/entries/725633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 725633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/725633/?format=api",
    "text_counter": 27,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Spika. Naomba nichukue nafasi hii kwa niaba yangu na watu wangu wa Wundanyi ambao ninawawakilisha kutoa rambirambi zetu kwa familia ya mwenda zake Mheshimiwa Seneta Juma Boy ambaye aliaga dunia hapo mwisho wa wiki na alizikwa jana. Naomba tukubaliane na wenzangu kuwa Seneta Juma Boy hakuwa Mheshimiwa hivi hivi. Yeye alikuwa amejisitiri sana katika shughuli zake na utendaji kazi wake."
}