GET /api/v0.1/hansard/entries/725634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 725634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/725634/?format=api",
    "text_counter": 28,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Alikuwa ni mmoja wa maseneta nchini ambaye alikuwa anategemewa na kuaminiwa sana kwa utendaji kazi wake. Tukubaliane kuwa wakati huu kuna msiba kwa familia yake, familia nyinginezo na Kenya kwa jumla kwa kumpoteza Seneta wetu. Mheshimiwa Spika naomba nitoe rambirambi kwa nchi yote nzima kwa kumpoteza Seneta Boy."
}