GET /api/v0.1/hansard/entries/72623/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 72623,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/72623/?format=api",
"text_counter": 129,
"type": "speech",
"speaker_name": "14 Wednesday, 8th December, 2010(P) Mr. Kutuny",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Unyanyasaji wa Wakenya wanaotafuta ajira katika mataifa ambayo yameendelea umekithiri sana na kisa hiki ni mojawapo tu. Kwa hivyo, ningeomba kwamba Kamati ya Bunge ambayo inahusika na masuala haya ifanye uchunguzi, kisha ipendekeze hatua madhubuti ambayo Serikali inaweza kuchukua ili ithibiti unyanyasaji wa Wakenya haswa vijana barubaru ambao wanatafuta ajira katika mataifa mengine."
}