GET /api/v0.1/hansard/entries/726890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 726890,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/726890/?format=api",
    "text_counter": 472,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii nami pia nichangie Ripoti ya Mheshimiwa Rais. Naungana na wenzangu walionena hapo awali kuhusu mambo yanayoikumba nchi yetu hasa upande wa usalama. Vile wenzangu wamesema ni kweli. Tumekuwa na changamoto katika upande wa usalama katika nchi yetu ya Kenya. Mhe. Naibu Spika, unakumbuka kwamba miaka miwili iliyopita tulikuwa na shida ya usalama katika Kaunti ya Bungoma. Watu walikuwa wanuawa kiholela. Mwishowe Serikali ilisadia angalau kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba mambo ya kuuana katika Kaunti ya Bungoma yameisha."
}