GET /api/v0.1/hansard/entries/726891/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 726891,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/726891/?format=api",
    "text_counter": 473,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Mhe. Naibu wa Spika, ningependa kumshukuru Rais kwa sababu ya mikakati ambayo amejaribu kuweka licha ya kuweko kwa shida ya wanamgambo wa Al Shabaab katika nchi yetu. Mwenzangu alisema kuwa Raisi, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, hakusema pole kwa wale waliopoteza maisha yao kwenye shambulizi la hivi juzi lililotekelezwa na wanamgambo wa Al Shabaab dhidi ya wanajeshi wetu kule Somalia. Rais alikuwa mstari wa mbele kupokea mili ya askari wetu waliouawa kule Somalia."
}