GET /api/v0.1/hansard/entries/726893/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 726893,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/726893/?format=api",
    "text_counter": 475,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Ningependa kuzungumzia mazingira yetu. Tangu Jubilee ichukue uongozi mwaka wa 2013, mazingira katika nchi yetu ya Kenya yamelindwa vilivyo. Hapo awali, ungeona watu wanakata misitu yetu ili wapate makaa ama kuni. Hivi sasa, watu hawavamii misitu na kukata miti. Hii inamaanisha uhaba wa maji hausababishwi na kutotiliwa maanani suala la kuhifadhi mazingira. Sisi, Wabunge tunaowakilisha kaunti, tungependa kumshukuru Rais kwa sababu baadhi yetu tulihakikisha kwamba tumeongea na Rais kwa sababu ya kazi yetu inayo tulazimu kutembelea sehemu zote za kaunti nzima, ndiposa akatupatia hazina ambayo tunatumia kama viongozi wa kaunti."
}