GET /api/v0.1/hansard/entries/727056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 727056,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/727056/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika wa Muda, kwa wakaazi wa Kaunti ya Nyeri na wale pengine waliokuwa wana tofauti za kisiasa, nawaomba waweze kushikana ili wampe mkono wa burhiani Gavana aliyetuaga ili apumzike vile ameitwa na Mwenyezi Mungu aliye mpenda kabisa. Kwa hayo machache, Bw. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja ambayo imeletwa na Seneta wa Kaunti ya Nyeri. Namtakia kila la heri rafiki yangu Sen. Kagwe ili wakati wa uchaguzi utakapofika Agosti, Mungu amuonekanie aweze akawa Gavana wa Kaunti ya Nyeri."
}