GET /api/v0.1/hansard/entries/727058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 727058,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/727058/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Kwanza natoa rambi rambi kwa familia na jamii ya marehemu Nderitu Gachagua. Vile vile pia kwa watu wa Nyeri na hata Seneta ndugu yetu, Mutahi Kagwe. Bw. Spika wa Muda, kama binadamu, njia ni hiyo moja. Siku ya mtu ikifika, tutakuwa tayari kusalimu amri. Mara nyingi WaKenya wamepoteza maisha yao kupitia ugonjwa wa Seratani. Jambo la kusikitisha ni kwamba Serikali ya Jubilee haijatilia manani na kutenga pesa zinazotosha kupambana na ugonjwa huu. Imekukwa ikizembea na kubidi Wakenya kutumia pesa nyingi kwa matibabu hapa Kenya. Matibabu ya"
}