GET /api/v0.1/hansard/entries/727244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 727244,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/727244/?format=api",
"text_counter": 329,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hoja ya nidhamu! Bw. Spika wa Muda, hapo awali ulikuwa umetoa uamuzi. Sheria inahitaji kwamba ukishatoa uamuzi, Seneta anayeongea anafaa kupewa nafasi ya kuongea na hivyo ndivyo ulivyokuwa umeamua. Sasa kuna mchezo wa paka na panya. Hawa watu wawili hawataki tuendelee. Kwa nini Sen. (Prof.) Lonyangapuo anaingilia? Anafaa kugonja Sen. Murkomen amalize halafu atapata wakati wake ili ajibu."
}