GET /api/v0.1/hansard/entries/729627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 729627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/729627/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu muhimu sana ambao unazungumzia masuala ya elimu ya msingi. Elimu ni muhimu sana, haswa elimu ya msingi. Watoto wanapokwenda kwenye shule za msingi, ofisi za elimu na viongozi wanatakiwa wawe wamekata shauri kulizingatia jambo hili kwa makini sana, ili wahakikishe kwamba watoto wamefanya vyema katika shughuli zao za baadaye."
}