GET /api/v0.1/hansard/entries/729630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 729630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/729630/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Naunga mkono Mswada huu ili hatua ya Serikali iwe kamili na ihakikishe kwamba imesimama kindete kwenye vita dhidi ya ufisadi, kwa sababu kuna pesa nyingi sana ambazo zinatumika ovyo ovyo. Kama Serikali ingekuwa inawajibika kikamilifu katika mapambano dhidi ya ufisadi, pesa ambazo zinatumika ovyo ovyo zingetumiwa kuboresha elimu ya msingi. Watoto wanashida, wazazi ni maskini, na pesa hakuna. Serikali ina pesa lakini imelegeza mkono. Watu wanaiba vile wanavyotaka, lakini hawachukuliwi hatua yoyote."
}