GET /api/v0.1/hansard/entries/730234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 730234,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/730234/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, asante kwa kunisaidia. Ninaelewa uchungu wa dadangu lakini ni sawa. Mwisho ningependa kutaja mambo ya Galana-Kulalu. Rais pia aliutaja mradi huo katika hotuba yake. Jambo la kusikitisha ni kwamba watu walioandikwa kazi pale si wa Kilifi wala Tana River. Tunajiuliza faida ya ule mradi ni nini. Hatimaye wale walio andikwa pale---"
}