GET /api/v0.1/hansard/entries/730236/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 730236,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/730236/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa muda. Katika ule mradi ambao umekuja pale, licha ya kile chakula chote kilicho toka pale, tumekuwa na njaa sana ndani ya Kaunti ya Kilifi ambapo watu na mifugo wamekufa, na hakuna njia yoyote tumeona Serikali ikitoa chakula cha kutoka Galana-Kulalu kwa watu wa Kaunti ya Kilifi. Chakula hiki kilicho tengenezwa katika ekari million ambayo Serikali ilisemai inataka kuchukua kilienda wapi? Hilo ni swali tunamuuliza Rais."
}