GET /api/v0.1/hansard/entries/732118/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 732118,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/732118/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "ndugu zangu walio katika Bunge hili kuwa, tupigane na ugaidi kwa pamoja na si kuliachia jambo hili Rais ama jeshi pekee. Ninavyoelewa ni kwamba, waliochangia pakuu kutuma jeshi letu Somalia, mmoja wao ni yule babu ambaye anatarajia kugombea kiti 2017 ambaye ni kinara wa Upinzani ambaye tunamfahamu kama Raila Odinga. Ninaomba ndugu zangu walio Upinzani wasipinge tu kwa sababu Serikali ya Jubilee imefanya, lakini wapinge kwa sababu ya kupinga."
}