GET /api/v0.1/hansard/entries/732475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 732475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/732475/?format=api",
"text_counter": 249,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii nichangia hotuba ya Rais. Wakati nchi hii ilipata Uhuru, ilifanya hivyo kwa sababu ya kupigana na umaskini, ujinga na magonjwa. Leo tunavyozungumza, umaskini umezidi katika nchi hii ya Kenya. Ufisadi lazima uangaliwe kwa sababu umekuwa kama jambo la kawaida. Tunajua kuwa tunaweza kupigana na hali hii pamoja. Ufisadi si jambo ambalo linaweza kupiganiwa na mtu mmoja. Ni lazima Serikali iliyo mamlakani ifanye juhudi kuangalia vile itapigana na mambo ya ufisadi. Leo ninashangaa vile The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}