GET /api/v0.1/hansard/entries/734447/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 734447,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/734447/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kurudisha shukrani kwa Waheshimiwa waliopata nafasi kufika kwa mazishi ya mamangu, na wale ambao walinyoosha mikono yao. Mwenyezi Mungu awabariki. Mhe. Naibu Spika, ukweli wakati mwingine ni mchungu, lakini haina budi usemwe. Zote tulikosea tulipochukua kitengo cha afya na kukiweka kwenye ugatuzi na tukakisambaza kwenye kaunti. Tunapolalamika kwamba madaktari hawako, ni muhimu tukumbuke kwamba sio jukumu la Serikali ya Kitaifa kuhakikisha kuwa hospitali zote zina madaktari. Kaunti zimepewa pesa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}