GET /api/v0.1/hansard/entries/734502/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 734502,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/734502/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika. Naunga mkono malalamishi yaliyoletwa na jamii ya Talai. Makosa yaliyofanyiwa jamii hii ni sawa na yale yaliyofanyiwa Wagiriama na watu wengine wa Mkoa wa Pwani. Tumeona tabia za watu kuja Pwani na kupata vyeti vya kumiliki mashamba kutoka Nairobi na kwingineko kuweka waya kuzunguka jamii ya Miji Kenda. Hatimaye, hawa watu hufurushwa kutoka mashamba yao. Huu ni ukoloni mamboleo ambao unaendelezwa kule Pwani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}