GET /api/v0.1/hansard/entries/735670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 735670,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/735670/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kama bado hujakata kauli, basi nami nina hoja ya nidhamu. Si Mkenya mmoja wala wawili wanaopoteza maisha. Sasa hivi tunashuhudia matukio ya polisi kupiga risasi raia wanaotakikana kuwalinda. Seneta anayehusika anatakikana kujibu swala hili na ni sharti aliweke wazi hapi. Hafai kulichukulia kirahisi na kutuambia bado hajapata jibu. Kuna familia ambazo zina maiti ndani ya nyumba zinazongoja kuzikwa ama zimezikwa. Pia kuna watu ambao familia zao zimekosa wazazi. Hili ni swala muhimu sana kwa Wakenya. Kwa hivyo, swala hili linafaa kuangaziwa sana. Je, ni sawa kusimama na kusema kwamba huna jibu na kwa hivyo utajibu wakati mwingine?"
}