GET /api/v0.1/hansard/entries/736448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 736448,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736448/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Yakichelewa, inamaanisha wengine wetu hatutaweza kufanya kazi. Kwa hivyo, ni muhimu na ni muhimu. Nasisitiza kuwa makadirio haya yamaliziwe mapema ili tuweze kufanya kazi kwa muda unaofaa. Naomba nihakikishie Bunge hili kuwa wale ambao tuko hapa na tunatarajia kwenda huko kwingine, hatutaaibisha hili Bunge. Hatutaaibisha hili Bunge kwa kuwa Magavana wa kuiba ama wakuletwa hapa kwa Seneti. Tunaenda huko kutumikia wananchi. Naliheshimu hili Bunge na nitaendelea kuliheshimu Bunge la Kumi na Moja. Mmenifunza mengi. Sitawaaibisha."
}