GET /api/v0.1/hansard/entries/736565/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736565,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736565/?format=api",
    "text_counter": 198,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Omulele",
    "speaker_title": "The Temporary Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 2145,
        "legal_name": "Christopher Omulele",
        "slug": "christopher-omulele"
    },
    "content": " Mhe. Ngunjiri, nafikiri itakuwa vyema kama tutaweza kuangalia ule Mswada ambao uko mbele yetu badala ya kuzungumzia siasa. Najua yapo maneno mengi yanayofanyika kule nje, lakini kwa sasa hivi kazi yetu ni kuangalia Mswada ulioko hapa, ambao ni Finance Bill, 2017. Tuangalie vipengele hivyo na tusizungumzie mambo mengine. Tusiende kwa siasa tafadhali kwa sababu naona kuna hoja za nidhami nyingi. Itafanya mchango wako kuwa bila ladha. Kwa hivyo, jaribu kuzingatia Mswada."
}