GET /api/v0.1/hansard/entries/736567/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736567,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736567/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "hili. Kazi yetu ni kujadiliana na kulinda haki ya mwananchi, tukitafuta namna ya kumsaidia. Kama mwananchi anaumia, tuzungumze kuhusu jinsi tutakavyomsaidia. Kama bei ya kitu fulani iko juu zaidi, tuizungumzie. Hivyo ndivyo ninavyosema. Sisemi hivyo kwa sababu niko upande ya Jubilee. Mimi niko hapa kuwatetea watu wa Bahati. Kazi yangu nzuri ndiyo iliwafanya watu wa Bahati wanirudishe Bungeni kwa muhula mwingine ili niendelee kuwahudumia. Hii ni kwa sababu mimi huwatetea kwa njia ya haki. Kwa hivyo ninaomba tuendelee na utaratibu wa kuangalia jambo nyeti ni gani. Na hilo jambo nyetu tulizungumzie kwa utaratibu. Lakini tukianza kuingilia mambo mengine---"
}