GET /api/v0.1/hansard/entries/736576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736576,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736576/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. Nashukuru. Imeeleweka na inajulikana ni hivyo. Lakini ninakubaliana na vile ulivyomesema. I respect the Chair. Ukishatoa mwelekeo, ni lazima tuufuate. Ndiyo ninamshauri mwenzangu awache kuzungumzia siasa za Bahati. Tuzungumzie mambo ambayo yako mbele yetu. Ndugu yangu, tuheshimiane. Tuangalie tutafanya nini ili tuweze kuiendeleza nchi hii tukiwa pamoja. Ahsante sana."
}