GET /api/v0.1/hansard/entries/736646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 736646,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736646/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ya kujadili kama wenzangu kuhusu mambo yanayoadhiri maisha yetu hasa bei ya unga na bidhaa nyingine ambacho bei zake zimepanda. Wananchi wanapokosa chakula watakosa mahitaji mengine kama dawa na maji. Tunaweza kuangalia bei ya unga peke yake lakini wananchi wamekosa hata pesa za kulipia matibabu."
}