GET /api/v0.1/hansard/entries/736647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 736647,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736647/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "Tukiongea kuhusu bei ya unga, inawezakuwa wakati mzuri kwa wafisadi ambao wako na mashehena kule baharini kuleta mahindi nchini ilhali Wakenya wako na mahindi kwa nyumba zao. Hatujui kama tumeishiwa kabisa na mahindi. Inastahili tuweke mikakati ifaayo. Hili jambo la kuwe ka mikakati si geni kwa nchi yoyote. Hata kwenye Bibilia watu walikuwa wanaweka mikakati ya chakula siku hizo. Kwa mfano, wangehakikisha kwamba wako na chakula kwa magala yao yakutosha miaka saba. Sisi Wakenya tunafanya nini? Kila siku tunalia njaa."
}