GET /api/v0.1/hansard/entries/736648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736648,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736648/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 769,
        "legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
        "slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
    },
    "content": "Ukiangalia huko Turkana, watu wanalia njaa. Hii ni kwa sababu hatujaweka mikakati yoyote. Inafaa tuweke mikakati kwa sehemu kame za Kenya na tuangalie kama tunaweza kupata maji. Tumeambiwa sehemu kama Turkana ziko na maji ya kutosha lakini nani anafikiria vile tunaweza kupata hiyo maji ili watu wapate kukuza chakula? Inaonekana kama hakuna jambo linalotendeka. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}