GET /api/v0.1/hansard/entries/736649/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736649,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736649/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 769,
        "legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
        "slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
    },
    "content": "Pia afisi ambazo zinashugulikia mambo yakulipisha kodi zinafaa kuangalia ni bei ya nini ambayo watapunguza hata kama ni mwaka huu peke tu. Hili si jambo ambalo litakuwepo kwa muda mrefu lakini ni lazima tuangalia mikakati ya kupunguza bei kwa muda mrefu. Pia tunapaswa kuwaangalia wakongwe huku nchini ili kutoka miaka 65 waweze kupata fedha za matumizi na kulipiwa malipo yaNHIF ili wapate matibabu kwa urahisi. Hawa ni watu ambao hawajiwezi na tungetaka wawe wakienda hospitali bila kulipa hela yoyote. Umri umewakabili na hawawezi kuajiriwa tena na hawana nguvu ya kufanya kazi. Sisi ambao tuko kwa Bunge hili ambako sheria zinatengenezwa, haijalishi umetoka mrengo mgani, lakini ni lazima tuangalieWakenya walio na matatizo. Tusikuwe tunalaumiwa eti Serikali haifanyi jambo hili na lile. Wewe kama mwakilishi wa Wakenya, ambaye amechagulia kuwawakilisha watu ambao hawana chakula, nilazima uwawakilishe sawasawa hapa Bungeni."
}