GET /api/v0.1/hansard/entries/737397/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 737397,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/737397/?format=api",
"text_counter": 186,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nimesema tatizo sio idadi. Tatizo ni mchakato. Kwa mchakato, Wakenya 41 walipoomba nafasi, utawanyamazisha vipi na kuleta majina manne? Wakati muungano wa vyama vya Jubilee umepewa nafasi tano, kwa kila nafasi umeleta nafasi tatu ili Bunge lifanye uchaguzi. Ukileta majina manne, hiyo ni uteuzi ama uchaguzi? Na ukizoea kudhulumu Wakenya, usilazimishe Bunge likuunge mkono katika dhuluma zako. Wengine wanasema tunatumia nambari kudhulumu upande wa CORD. Kama tungedhulumu upande wa CORD, hatungepeana muda zaidi. Ukiangalia pendekezo la tano, limepeana nafasi kwa CORD kuleta majina masaba zaidi. Kama ni tyranny of numbers vile wanavyosema, kweli tungewapatia nafasi walete majina zaidi? Tusingefanya hivyo. Kamati yetu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}