GET /api/v0.1/hansard/entries/737398/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 737398,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/737398/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "imefanya haki. Kamati imeambia CORD kwa sababu imeleta majina matano, leteni majina mengine masaba wawe 12. Utakapoleta majina hayo katika Bunge, Bunge litaweza kuchagua majina kadhaa. Usitupee majina ya watoto ambao baba yao ni mwaniaji mwenza. Wako Wakenya wengine ambao wana haki. Walete hapa tuwachague. Sisi hatuko hapa kufanya uteuzi. Tuko hapa kufanya uchaguzi."
}