GET /api/v0.1/hansard/entries/737652/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 737652,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/737652/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Mimi pia ningependa kuongea juu ya hili jambo ambalo liko mbele yetu hapa Bungeni. Kumbuka hii Ripoti tumeingojea kwa muda mrefu sana. Bila shaka, tumesikia maneno mengi. Wale watu ambao walihusika katika hii sakata, tunaambiwa ya kwamba wamekuwa wakizuia Ripoti hii The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}