GET /api/v0.1/hansard/entries/737655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 737655,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/737655/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Wengine wetu wanajua kwamba hiyo ni mahindi ambayo imetoka kwa mradi wa Galana- Kulalu, ambao tulitumia Kshs9 milioni kutengeneza ili tukuze mahindi. Mahindi ambayo yalivunwa mwaka wa kwanza, wa pili na wa tatu ilienda wapi? Hiyo ni mahindi ambayo wakora wa Jubilee walipeleka huko Mombasa na kuyaweka kwa meli na kutuambia yametoka Mexico. Tunajua haya mambo. Watu wanatafuta pesa za kampeini na hatuwezi kubali. Hatuwezi lala tukiona. Kwa hivyo, tunataka kuwaambia hiyo kashfa ya mahindi tunaijua. Ni kama ile ya NYS."
}