GET /api/v0.1/hansard/entries/740605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 740605,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/740605/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Hivyo basi, bado mila na desturi zetu zimekuwa na matatizo na kwa sababu hio kuna umuhimu wa sheria hii kubadilishwa ili kuhakikisha kwamba akina mama, walemavu na vijana wanaweza kupata nafasi. Kweli, kama alivyosema Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni, ni kweli Chama cha Jubilee kimekuwa sana kiking’ang’ania kuwa akina mama waweze kuongezeka. Nimeona pia hata upande wa National Super Alliance (NASA) kwa wakati huu, wamejaribu kuongezea idadi na kuwawezesha kina mama kuchaguliwa hata kwenye viti vikubwa. Nilikuwa Waziri wa Jinsia na nilipokuwa nikisimamia maswala ya kijinsia, nilitoa mapendekezo fulani na kuzungumza na wengi. Tulivyokuja hapa tukaanza kung’ang’ana na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}