GET /api/v0.1/hansard/entries/742927/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 742927,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/742927/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "June 13, 2017 SENATE DEBATES 3 Sen. Mbura",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, muda ambao Sen. Madzayo alipewa ulitosha kupata jibu. Watoto wetu wanaofanya kazi EPZ wanazidi kuumia na kufa. Kuna msichana aliyepigwa risasi na kufa kwa sababu ya kudai haki yake. Kufikia dakika hii, kama Seneta wa Kilifi Kaunti ameyalalia maswala haya. Nimetarajia kama Mwenyekiti wa Kamati ya Leba na Maswala ya Kijamii ayashughulikie kwa haraka maswala haya. Tumekuwa kwenye mapumziko kwa muda mrefu na mpaka dakika hii Seneta hajanipa sababu ya maana. Naomba jibu liharakishwe kwa sababu watoto wetu wanaumia na kuendelea kufa."
}