GET /api/v0.1/hansard/entries/744909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 744909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/744909/?format=api",
    "text_counter": 432,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "wafanyikazi katika taasisi za kibinafsi ama wale ambao wameandikwa na waajiri wa kibinafsi. Imekuwa matatizo sana haswa kwa hao wanaofanya kazi kama vijakazi wa ndani ya nyumba. Watu hao wanapata mateso mengi sana. Kwanza, hawapatiwi nafasi. Hata hizo nafasi za siku za"
}