GET /api/v0.1/hansard/entries/748627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 748627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/748627/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "ugavana watakuwa ni magavana ambao wanaenda kuendesha sera ambazo zimetungwa sahihi na Bunge hili. Tunawahakikishia Wabunge wenzetu hatutawaibisha kwa vyovyote. Mhe. Spika, umetuelekeza mpaka sasa tunafikia kukunja jamvi. Sidhani kama kuna yeyote ambaye angependa kwenda nje kukuaibisha. Kwa wale ambao watakuwa wanarudi, ni matumaini yangu kuwa nao watakuwa watu wa nidhamu ambao wataendesha shughuli zao bila shida yoyote. Kwa hivyo, naomba niunge Hoja hii mkono. Naomba wenzangu pia waiunge mkono. Ahsante Mhe. Spika."
}